Tunatoa huduma za ufundishaji kwa watoto wenye mahitaji maalum

Home tutor Dar

Senior Member
Joined
Feb 23, 2025
Posts
126
Reaction score
156
Unamlea mwanafunzi:

  • Mwenye changamoto ya kujifunza (slow learner)
  • Asiyefahamu kusoma na kuandika vizuri
  • Mwenye uhitaji wa mbinu maalum ya ufundishaji
  • Au mwanafunzi wa Special Needs anayehitaji mwalimu mwenye uvumilivu, upendo na mbinu maalum?

Tunao walimu walio bobea katika:
  • Phonics & Reading recovery
  • Behavioral support & concentration training
  • Kufundisha watoto wasiojua kusoma na kuandika kabisa
  • Special needs education (autism, ADHD, speech delay, nk)

Ratiba ya kufundisha ni flexible – asubuhi au jioni
Tunapatikana Tanzania Bara na Zanzibar
Tunatoa Assessment ya awali bure kwa wanafunzi wote wapya

Wasiliana nasi WhatsApp: 0743 567 159


Elite Home Tuition – Kila mtoto ana uwezo, anahitaji njia sahihi tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…