TUNATOA HUDUMA ZA USAFI WA MAJUMBANI. Bei zetu night nafuu mno

Nwaigwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2009
Posts
1,053
Reaction score
915
Habari zenu wana jamvi DAR-MAID CLEANING SERVICE (huduma iliyosajiliwa na yenye bima kwa wateja)

tunatoa huduma za usafi wa majumbani kwa bei nafuu mno. Bei zetu zinaanzia 8000 -mpaka 19000 tu kwa huduma kutegemea na huduma uitakayo. Kwa wateja wa kila siku tunawapa punguzo zaidi la bei.

HUDUMA TUNAZOZITOA :-
*Kufanya usafi wa ndani ya nyumba kwa ujumla (mopping,dusting,cleaning carpets,kitchen, bathrooms, cobwebs n.k )
*Kupika na kuosha vyombo
*Kufua
*Kuhudumia watoto &wasiojiweza
*Kukatia fensi na majani
*kutengeneza na Kuhudumia bustani

Tunatoa huduma zetu kwa ambao
wanataka kwa mara moja, kwa wiki au mwezi.

usiwaze wala kuhangaika na wadada wa kazi. Tupigie simu 0768 249494
 

Attachments

  • IMG-20190617-WA0001.jpg
    102.4 KB · Views: 44
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…