Tunatoa Kozi ya ujasiliamali wa kutengeneza mifuko mbadala kwa bei nafuu!

incredible terminator

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2016
Posts
2,536
Reaction score
4,304
Karibu katika darasa la kujifunza kutengeneza Mifuko mbadala
Tunafundisha kupitia online videos, na voice note
Pia tunatoa kozi mubashara (live) kwa watakao weza kufika ofisini kwetu tupo Dodoma Makulu Jirani na Chuo kikuu cha Dodoma!

Ada zetu ni Tsh..5,000/= Tu! Kwa wanaotaka kusoma online
Na Tsh 10,000/= Kwa anaekuja live
Pia tunatoa ofa kwa atakae kuja na wateja wa kujifunza 20 na kuendelea tunampa ofa ya kusoma bure na kumtengeneza vifaa vya kutengeneza Bure!
Karibu Whatsup group kwa maelezo zaidiii


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…