Tunatoa mikopo kwa wafanyabiashara wa kati na wakubwa

Tunatoa mikopo kwa wafanyabiashara wa kati na wakubwa

Ibrahim K. Chiki

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2011
Posts
594
Reaction score
163
Habari Zenu Ndugu Zangu.

Yes, THE FUSE TZ LTD, Ni Business Consultants Company ambao kwa Pamoja Tuna Deal Na

1. Business Registrations
2. Tra And All Tra Related Issues.
3. Loans Guidance And Assistance.

Hapo No. 3 ndo Msingi wa Hii Post. Kwa Wafanya Biashara Wenye Kuhitaji Kuanzia tsh 25,000,000.00 M na Kuendelea Yaaani Hadi 3,000,0000,0000.00 B.

Tunakuandaa Vyema
Tunakuongoza Vyema
Tunafanya Kazi Na 13 Banks In Tz Kwa Sasa.

Zingatia:

Ni Muhimu Uwepo Wa Dhamana.
Ni Muhimu Kua Na Bank Statement.

Kwa Wenye Uhitaji Tafadhari Karibu Inbox Tuyajenge.
 
Ninalo wazo wazo zuri. Ninayo taaluma ya ninacho taka kukifanya, ninao uzoefu wa miaka 10 ktk tasnia hilo wazo linamoangukia, je, mwaweza kutoa mtaji ku fund hiyo project wakati huo mkiwa sehemu ya management hadi pesa yenu na riba yake vitakapo Rudi?.
 
Karibu mkuu.. Ukipata wa saa ututembelee ofisin pia, tuzungumze.
 
Back
Top Bottom