SOFTWARE Tunatoa msaada kwa final year project (IT/ICT)

mabibotech

Member
Joined
Apr 11, 2018
Posts
78
Reaction score
16
Habari JF,

Kama wewe mwaka wa tatu na unafanya project umekwama mahali karibu tukupe ushauri.

Tunaelewa vyuo vyetu masupervisor wanakuacha unaangaika peke yako. Njo tukusimamie ndugu.

Mawasiliano: 0718471330

Karibu sana tupo Mabibo Hostel Karibu na kituo cha daladala
 
OFA! OFA! OFA!

Habari wadua JF, tumefungua ofisi mpya ipo maeneo ya mabibo inashughulika na mambo ya IT kama ifutwavyo;
  1. Kutengeneza simu za aina zote
  2. Kutengeneza kumpyuta za aina zote
  3. Kuweka programu kwenye kompyuta.
KUANZIA TAREHE APRIAL 23TH MPAKA 27TH TUTAKUWA TUNAWEKA PROGRAMU KWA WATEJA WETU BUREEEEEE KABISA.

Tupo Mabibo Hostel Karibu na kituo cha daladala
Mawasiliano: 0718471330
KARIBUNI SANA!
 
Ninashida na driver pac soln
 
freeeee, we njoo mkuu.
Mkuu!!! Unaeza kunielekeza namna ya ku-download driver pac manake hapa nina wireless free WIFi kama uwezekano upo naomba nielekeze pia nifahamishe ofisi yako ni mabibo seem gan kuna uwezekano wa kukupa ushirikiano wa kuja kununua na kurekebishiwa mashine zetu kwako coz wengine tuko jiran na maeneo hayoo ya mabibo so naomba nielekeze steps za kudownload mkuu
 
http://download.drp.su/17-online/DriverPack-17-Online.exe hiyo hapo pakua online uwe na gb kama 5 zinatosha kumaliza kazi .
 
wewe jamaa aise umekuja kuokoa jahazi maana mdau alikua anataka watu kwenda ofisini kwake wakati mambo siku hizi yamebadilika unaweza kuwa ndani kwako huku unapiga kazi kamakawa.
 
Ndiyo kila kitu online tena bila kufunga safari
 
Mkuu!!! Unaeza kunielekeza namna ya ku-download driver pac manake hapa nina wireless free WIFi kama uwezekano upo naomba nielekeze pia nifahamishe ofisi yako ni mabibo seem gan kuna uwezekano wa kukupa ushirikiano wa kuja kununua na kurekebishiwa mashine zetu kwako coz wengine tuko jiran na maeneo hayoo ya mabibo so naomba nielekeze steps za kudownload mkuu
sisi tupo maeneo ya mabibo hostel (karibu na kituo cha daladala) ukifika unaweza kutucheki kupitia mawasiliano yetu. Nadhani watu wamekupa majibu jinsi ya kudownload
 
wewe jamaa aise umekuja kuokoa jahazi maana mdau alikua anataka watu kwenda ofisini kwake wakati mambo siku hizi yamebadilika unaweza kuwa ndani kwako huku unapiga kazi kamakawa.
Download tu na virus kabisa.
 
Nipo mkani naotaji uduma yako ya bule
 
Back
Top Bottom