mabibotech
Member
- Apr 11, 2018
- 78
- 16
Ninashida na driver pac solnOFA! OFA! OFA!
Habari wadua JF, tumefungua ofisi mpya ipo maeneo ya mabibo inashughulika na mambo ya IT kama ifutwavyo;
KUANZIA TAREHE APRIAL 23TH MPAKA 27TH TUTAKUWA TUNAWEKA PROGRAMU KWA WATEJA WETU BUREEEEEE KABISA.
- Kutengeneza simu za aina zote
- Kutengeneza kumpyuta za aina zote
- Kuweka programu kwenye kompyuta.
Tupo Mabibo Hostel Karibu na kituo cha daladala
Mawasiliano: 0718471330
KARIBUNI SANA!
Ipo 10.7GB karibu, mawasiliano piga 0718471330Ninashida na driver pac soln
But from 23-27 si free mkuuIpo 10.7GB karibu, mawasiliano piga 0718471330
freeeee, we njoo mkuu.But from 23-27 si free mkuu
Mkuu!!! Unaeza kunielekeza namna ya ku-download driver pac manake hapa nina wireless free WIFi kama uwezekano upo naomba nielekeze pia nifahamishe ofisi yako ni mabibo seem gan kuna uwezekano wa kukupa ushirikiano wa kuja kununua na kurekebishiwa mashine zetu kwako coz wengine tuko jiran na maeneo hayoo ya mabibo so naomba nielekeze steps za kudownload mkuufreeeee, we njoo mkuu.
Hii hapa pakuaNinashida na driver pac soln
http://download.drp.su/17-online/DriverPack-17-Online.exe hiyo hapo pakua online uwe na gb kama 5 zinatosha kumaliza kazi .Mkuu!!! Unaeza kunielekeza namna ya ku-download driver pac manake hapa nina wireless free WIFi kama uwezekano upo naomba nielekeze pia nifahamishe ofisi yako ni mabibo seem gan kuna uwezekano wa kukupa ushirikiano wa kuja kununua na kurekebishiwa mashine zetu kwako coz wengine tuko jiran na maeneo hayoo ya mabibo so naomba nielekeze steps za kudownload mkuu
Thankshttp://download.drp.su/17-online/DriverPack-17-Online.exe hiyo hapo pakua online uwe na gb kama 5 zinatosha kumaliza kazi .
UsijaliThanks
wewe jamaa aise umekuja kuokoa jahazi maana mdau alikua anataka watu kwenda ofisini kwake wakati mambo siku hizi yamebadilika unaweza kuwa ndani kwako huku unapiga kazi kamakawa.Usijali
Ndiyo kila kitu online tena bila kufunga safariwewe jamaa aise umekuja kuokoa jahazi maana mdau alikua anataka watu kwenda ofisini kwake wakati mambo siku hizi yamebadilika unaweza kuwa ndani kwako huku unapiga kazi kamakawa.
kabisa MkuuNdiyo kila kitu online tena bila kufunga safari
sisi tupo maeneo ya mabibo hostel (karibu na kituo cha daladala) ukifika unaweza kutucheki kupitia mawasiliano yetu. Nadhani watu wamekupa majibu jinsi ya kudownloadMkuu!!! Unaeza kunielekeza namna ya ku-download driver pac manake hapa nina wireless free WIFi kama uwezekano upo naomba nielekeze pia nifahamishe ofisi yako ni mabibo seem gan kuna uwezekano wa kukupa ushirikiano wa kuja kununua na kurekebishiwa mashine zetu kwako coz wengine tuko jiran na maeneo hayoo ya mabibo so naomba nielekeze steps za kudownload mkuu
Download tu na virus kabisa.wewe jamaa aise umekuja kuokoa jahazi maana mdau alikua anataka watu kwenda ofisini kwake wakati mambo siku hizi yamebadilika unaweza kuwa ndani kwako huku unapiga kazi kamakawa.