Ntolonyonyo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,231
- 2,357
Tunatoa ujuzi na ushauri mbalimbali kuhusiana na uandishi wa research. Ushauri hui utahusiana na:
1.Njia za kuandaa na kutambua "Research Title"
2.Namna ya kuandaa "research proposal"
3.Njia zitakazokusaidia katika kutambua na kuandaa "objectives za research"
4.Njia mbalimbali zinazoweza kutumika kukusanya taarifa mbalimbali (Research Data)
5.Njia zinazoweza kutumika kwenye kuchambua data; Data Analysis na kuziwasilisha kwa utaratibu unaokubalika
6.Mbinu mbalimbali za kupanga kazia "research" ili iweze kukuvutia wewe mwandishi pamoja na jamii inayolengwa
Ushauri huu unaweza kufanyika kwa mtu mmoja mmoja au kikundi cha watu kulingana na uhitaji husika.
Karibuni sana tueliminashane na tu-"share" uzoefu kwani elimu haina mwisho..
Asante