Witness Mathew
Member
- Jun 8, 2018
- 65
- 26
Ok bila shaka wamerudi saiviSafi sana.... hongera kwa juhudi zako...
Usishangae huu uzi ukikosa wafuasi... wengi bado wapo msibani...
Kuna namba hapo nitafuteMi nisaidie kujua aina ya mbegu nzuri ya cabbage, mbolea na Hali ya hewa hitajika!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitafute kwenye hiyo no hapo juuMi nisaidie kujua aina ya mbegu nzuri ya cabbage, mbolea na Hali ya hewa hitajika!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio unaweza kabisa kama upo dar nitafute number ipo hapo juu nikushauri zaidihabar kaka natamani sana kuanzisha bustani ya mboga mboga nyumbani ila nimekosa eneo vip naweza panda kwa kutumia mifuko laini kama mchicha nk
Ni mboga zipi zenye masoko ya uhakika?