Tunatoka mbali sana wakuu, hebu chekini hii!!

hahaaa!hizi ni nzuri sana kuliko PM na meseji za facebook zilizojaa utapeli!
 
Dah wadau mnanikumbusha mbali mnooo. basi hapo bado hujaichora chora makopa kopa, hujaipulizia pafyumu, hahahaha kweli enzi za mwalimu ni noooooooooooooma tupu. watoto wa sikuhizi hawawezi hizi
 
Kuna dem mmoja alinitokea tukiwa shuleni aliniandikia waraka ambao majuzi hapa mke wangu aliuharibu maana niliuweka uje kuwa sehemu ya mali za urithi wangu.

Dah enzi zile shuleni tulikuwa tunaazimana madaftari huku tukificha barua za hisia kali kwenye majalada yake. hahaha
kweli tumetoka mbali.
 
Dah wadau mnanikumbusha mbali mnooo. basi hapo bado hujaichora chora makopa kopa, hujaipulizia pafyumu, hahahaha kweli enzi za mwalimu ni noooooooooooooma tupu. watoto wa sikuhizi hawawezi hizi


Watoto wa kiepe na muvi watavijulia wapi vitu vya studio kama hivi?

Hayo mambo yetu bana. Unaandika. Unampa mtu anakupelekea. Then unaskizia.

Iko poa sana.
 
Nikinywa maji nakuona ndani ya kikombe..... kweli udanganyifu wa kimapenzi ulianza enzi!!
 
Halafu unaifungashia na Handkachif nyeupe iliyochorwa Love. "Life was so beautiful".
dah mkuu we acha tu lakini siku hizi wababaishaji watupu wao kuvuana nguo tu, kisha kila mtu nakula kona haaa haaaaa kama mbuzi vile lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…