likat
Member
- Feb 19, 2013
- 40
- 32
General Agro and livestock enterprise tupo mkoa wa mbeya, mbalizi kata ya nsalala. Tunatotolesha mayai ya Kuku, kware na ndege wengineo wanaofugwa. Tuna incubator za kisasa. Wasiliana nasi kupitia simu namba 0758 851 482. Baadhi katika picha ni mayai 800 ya kware ambayo Mteja ameyaleta kwa kusafirisha toka jijini DSM .