Tunatukana wazungu lakini bado tunajazana kwenda kwao kwa njia ambazo sio halali

Tunatukana wazungu lakini bado tunajazana kwenda kwao kwa njia ambazo sio halali

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Katika mambo ambayo yanichekesha ni kutokana na nchi za africa jinsi wanavyotukana nchi za magharibi na kusifia urusi,china,iran, Pakistan, korea, na nchi nyingi zinazopambana na nchi za magharibi.

Sisi ambao tunapenda nchi za magharibi na kuzisifu tunaitwa vibaraka, mashoga.

Lakini sasa cha kushangaza waafrica wengi wanakufa baharini na wengine kuteseka ili waafrike katika nchi izo za mashoga.

Kwanini hawaendi China, Urusi, Iran, Korea.

Kwa ufupi tuwape sifa wazungu pamoja na kuwa tunawaona wabaya ila wanautu ndani wangekuwa warusi, China wangeua watu mpakani mpaka basi.

Na Most of Them ni waislam
 
Hivi warusi siyo wazungu?
Anyways waafrika wengi wanakimbilia nchi kama Marekani, Ufaransa ,Uingereza na baadhi ya nchi za ulaya kwasababu ya lugha yaani English na French zinatumiwa sana Africa tofauti na Kirusi au kichina pia Marekani na nchi za ulaya zinajali kuhusu Human rights za refugees na pia diaspora wengi kutoka Afrika wapo huko.
Hizi factors zinasababisha Waafrika wengi kukimbilia huko.
 
Back
Top Bottom