Tunatumia vigezo gani kupima ukuaji wa Uchumi?

JamiiForums,

Tunasema Tanzania uchumi umekua na unaongezeka Kwa Kasi, Tunatumia vigezo gani kuproval icho kitu ingawajee huku watu wake walia Maisha magumu.?

Kila kukicha
Ni nchi gani ambayo raia wake hawalii maisha magumu?​
 
Tunatakiwa tutumie mabilion GDP per capita na HDI
 
JamiiForums,

Tunasema Tanzania uchumi umekua na unaongezeka Kwa Kasi, Tunatumia vigezo gani kuproval icho kitu ingawajee huku watu wake walia Maisha magumu.?

Kila kukicha
GDP
Employment
Manufacturing production
Housing market
Inflation pia ni signal ni bad kwa end user ila business man kwao ni good
Assets price zinapanda thamani.. Pesa inashuka thamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…