Tunaunda mashine za kutotolesha mayai zenye kufanya kazi bila kutegemea nguvu ya umeme pekee

Transistor

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
1,061
Reaction score
1,637
1. MASHINE INAYOTUMIA NISHATI YA UMEME NA ITATUMIA MAFUTA YA TAA KAMA NISHATI MBADALA KIPINDI UMEME UKIKATIKA

SIFA

-Inageuza mayai yenyewe (hata baada ya umeme kukatika)
-Inacontrol joto yenyewe (Hata baada ya umeme kukatika)
Inacontrol mvuke yenyewe (Hata baada ya umeme kukatika)
-Umeme ukikatika itatumia mfumo wa mafuta ya taa kama chanzo cha joto.
-Mfumo wa mafuta ya taa utawashwa "manually" baada ya umeme kukatika. Na utazimwa manually basda ya umeme kurudi.
-Inajengewa kitunza umeme ndani yake (Power bank ) itakayokuwa inaendesha mfumo wa kuratibu mifumo automatic baada ya umeme kukatika.
-Ina uwezo wa kuendelea kufanya kazi automatic masaa 72 baada ya umeme kukatika baada ya muda huo mifumo ya automatic inaweza kusimama na itamlazimu mtu kua jirani kuiedesha mashine hasa kucontrol joto.

*Mayai 150 = Tsh 1,200,000/=
*Mayai 210 = Tsh 1,500,000/=
Mayai 300 = Tsh 1,900,000/=
Mayai 540 = Tsh 2,400,000/=
Mayai 600 = Tsh 2,900,000/=
Mayai 1200 = Tsh 4,000,000/=

2. MASHINE INAYOTUMIA NISHATI YA UMEME,MFUMO WA SOLAR NA ITATUMIA MAFUTA YA TAA KAMA NISHATI MBADALA KIPINDI UMEME UKIKATIKA

SIFA

-Inageuza mayai yenyewe (hata baada ya umeme kukatika)
-Inacontrol joto yenyewe (Hata baada ya umeme kukatika)
Inacontrol mvuke yenyewe (Hata baada ya umeme kukatika)
-Umeme ukikatika itatumia mfumo wa mafuta ya taa kama chanzo cha joto.
-Mfumo wa mafuta ya taa utawashwa "manually" baada ya umeme kukatika. Na utazimwa manually basda ya umeme kurudi.
-Inajengewa kitunza umeme ndani yake (Power bank ) itakayokuwa inaendesha mfumo wa kuratibu mifumo automatic baada ya umeme kukatika.
-Ina uwezo wa kuendelea kufanya kazi automatic kwa kutumia nguvu ya umemewa solar baada ya umeme kukatika.

*Mayai 150 = Tsh 1,500,000/=
*Mayai 210 = Tsh 1,800,000/=
*Mayai 300 = Tsh 2,200,000/=
*Mayai 540 = Tsh 2,700,000/=
*Mayai 600 = Tsh 3,200,000/=
*Mayai 1200 = Tsh 4,100,000/=

3. MASHINE INAYOTUMIA NISHATI YA UMEME NA ITATUMIA GESI KAMA NISHATI MBADALA KIPINDI UMEME UKIKATIKA

SIFA

-Inageuza mayai yenyewe (hata baada ya umeme kukatika)
-Inacontrol joto yenyewe (Hata baada ya umeme kukatika)
Inacontrol mvuke yenyewe (Hata baada ya umeme kukatika)
-Umeme ukikatika itatumia mfumo wa Gesi kama chanzo cha joto.
-Mfumo wa gesi utawashwa "manually" baada ya umeme kukatika. Na utazimwa manually basda ya umeme kurudi.
-Inajengewa kitunza umeme ndani yake (Power bank ) itakayokuwa inaendesha mfumo wa kuratibu mifumo automatic baada ya umeme kukatika.
-Ina uwezo wa kuendelea kufanya kazi automatic masaa 72 baada ya umeme kukatika baada ya muda huo mifumo ya automatic inaweza kusimama na itamlazimu mtu kua jirani kuiedesha mashine hasa kucontrol joto.

*Mayai 150 = Tsh 1,400,000/=
*Mayai 210 = Tsh 1,800,000/=
*Mayai 300 = Tsh 2,300,000/=
*Mayai 540 = Tsh 2,600,000/=
*Mayai 600 = Tsh 3,200,000/=
*Mayai 1200 = Tsh 4,200,000/=

4. MASHINE INAYOTUMIA NISHATI YA UMEME,MFUMO WA SOLAR NA ITATUMIA GESI KAMA NISHATI MBADALA KIPINDI UMEME UKIKATIKA

SIFA

-Inageuza mayai yenyewe (hata baada ya umeme kukatika)
-Inacontrol joto yenyewe (Hata baada ya umeme kukatika)
Inacontrol mvuke yenyewe (Hata baada ya umeme kukatika)
-Umeme ukikatika itatumia mfumo wa Gesi kama chanzo cha joto.
-Mfumo wa gesi utawashwa "manually" baada ya umeme kukatika. Na utazimwa manually basda ya umeme kurudi.
-Inajengewa kitunza umeme ndani yake (Power bank ) itakayokuwa inaendesha mfumo wa kuratibu mifumo automatic baada ya umeme kukatika.
-Ina uwezo wa kuendelea kufanya kazi automatic masaa 72 baada ya umeme kukatika baada ya muda huo mifumo ya automatic inaweza kusimama na itamlazimu mtu kua jirani kuiedesha mashine hasa kucontrol joto.

*Mayai 150 = Tsh 1,400,000/=
*Mayai 210 = Tsh 1,800,000/=
*Mayai 300 = Tsh 2,300,000/=
*Mayai 540 = Tsh 2,600,000/=
*Mayai 600 = Tsh 3,200,000/=
*Mayai 1200 = Tsh 4,400,000/=

5. MASHINE INAYOTUMIA MAFUTA YA TAA, NA MFUMO WA SOLAR.

SIFA

-Inageuza mayai yenyewe
-Inacontrol joto yenyewe
Inacontrol mvuke yenyewe

-Inajengewa kitunza umeme ndani yake (Power bank ) itakayokuwa inaendesha mfumo wa kuratibu mifumo automatic hata wakati jua halipo

-Inafaa kutumika maeneo ambayo hayana nishati ya umeme wa Tanesco.

*Mayai 150 = Tsh 1,100,000/=
*Mayai 210 = Tsh 1,500,000/=
*Mayai 300 = Tsh 2,000,000/=
*Mayai 540 = Tsh 2,300,000/=
*Mayai 600 = Tsh 2,900,000/=
*Mayai 1200 = Tsh 4,000,000/=

6. MASHINE INAYOTUMIA GESI NA MFUMO WA SOLAR.

SIFA

-Inageuza mayai yenyewe
-Inacontrol joto yenyewe
Inacontrol mvuke yenyewe

-Inajengewa kitunza umeme ndani yake (Power bank ) itakayokuwa inaendesha mfumo wa kuratibu mifumo automatic hata wakati jua halipo

-Inafaa kutumika maeneo ambayo hayana nishati ya umeme wa Tanesco.

*Mayai 150 = Tsh 1,300,000/=
*Mayai 210 = Tsh 1,800,000/=
*Mayai 300 = Tsh 2,3000,000/=
*Mayai 540 = Tsh 2,600,000/=
*Mayai 600 = Tsh 3,200,000/=
*Mayai 1200 = Tsh 4,300,000 /=

NB: -Kwa hiari ya mteja Mayai ya toleo la kwanza tunaweka kwa
gharama yetu na tutalipia gharama za uendeshaji
mashine hadi kutotoresha vifaranga wakitotolewa tunawachukua.

- Mshine zote zinatengenezwa kwa oda
-Tunaweza kuja kuijengea hapo hapo nyumbani kwako
-Mikoani tunafika

Wasiliana nasi Tunapatikana Dar es Salaam,Mtaa wa lindi jengo la machinga complex

Simu 0629068815

IMG-20180811-WA0014.jpeg
IMG-20180811-WA0013.jpeg
upload_2016-11-27_8-57-6.jpeg
 
Hiyo bei mmmmhhhhh ndio maana mchina anakua juu kiuchumi
 
Back
Top Bottom