AGROPRODUCT
JF-Expert Member
- Apr 2, 2023
- 290
- 952
18000Mafuta lita 5 yale yasio n harufu bei gani?
Najaribu kukucheki dm sikuoati nichekiNinauza Alizeti, Mashudu ya Alizeti, Mafuta ya Alizeti.
Pia, ninayo mahindi mapya mwaka huu, na Mahindi ya mwaka Jana. Alizeti ni ya mwaka Jana. Karibuni sana waungwana.
Pia, Kwa ushauri wa kilimo cha Alizeti, Mbaazi, Mahindi, Dengu na karanga
Mm niko Dar nayapataje?18000
Nimekutafuta PMNajaribu kukucheki dm sikuoati nicheki
Mashudu bei ganiMawasiliano;- CHAMA AGRIBUSINESS SERVICES 0756 757076 TUPO MANYARA NA DODOMA. Karibuni Tulime Mahindi na Alizeti, ( Mbaazi, Karanga, Dengu)
Nimekutafuta PM
Inategemea Kuna ndogo za kuanzia 10M, 24M,34M50MHivi mkuu mashine ya kukamua mafuta ya alizetu huwa inacost ngapi mpka installations??
Mkuu kipindi hichi tunamalizia Stock ya Mwaka Jana, Ila kuanzia next week Bei zitashuka Tunaanza kuingiza Sokoni Mzigo wa Mwaka huu, Ndio maana. Nasubiria Mzigo mpya Week ijayo , Na Bei itakuwa Chini sana kulinganisha na Bei za sasaWeka bei ya hizo bidhaa hapa, mambo ya Pm ni baada ya mtu kujua bei!
Otherwise huu uzi ungewaazishia watu kwenye pm zao!
Sawa, weka bei iliyopo sokoni kwa sasa ya alizeti, mashudu na mafuta.Mkuu kipindi hichi tunamalizia Stock ya Mwaka Jana, Ila kuanzia next week Bei zitashuka Tunaanza kuingiza Sokoni Mzigo wa Mwaka huu, Ndio maana. Nasubiria Mzigo mpya Week ijayo , Na Bei itakuwa Chini sana kulinganisha na Bei za sasa
Alizeti Gunia 73000/= Mashudu KG 300/- Hadi 200/= inategemea na kiasi unachochukuwa, Mafuta ltrs 20 Bei 72000/=Sawa, weka bei iliyopo sokoni kwa sasa ya alizeti, mashudu na mafuta.
Hapana hiyo Gunia ni Alizeti kabla ya kukamuliwa, Alizeti inauzwa Kwa ltrsAlizeti iliyokamuliwa inauzwa kwenye gunia?