INAUZWA Tunauza bidhaa mbalimbali, Tunapatikana Kariakoo Ndanda st

Muwy

Member
Joined
May 9, 2020
Posts
39
Reaction score
36
Machine mpya kabisa kwa ajili ya kukatia nyama,samaki na mifupa
Ni imara na haikati misumeno
Ina watts 550
Ina sehemu ya kusagia nyama
Ina warranty mwaka mmoja
Bei 1,350,000 tu
Tunapatikana kariakoo ndanda st
Tunadeliver free kwa dar pia.
Call/text/WhatsApp 0656666662.

 
Kibao cha kisasa kwa ajili ya kuchomea:-
-Chapati,
-Zanzibar,
- Pizza
-Na vyakula mbali mbali.

Sifa zake:
  • Yana mfumo wa kisasa wa kutumia gas kidogo.
  • Stainless steel material.
  • Free delivery in Dar
Bei ni - 420,000 tu.

Mawasiliano: Call/whatsapp 0656666662
 
Tunauza fryer mpya kwa ajili ya kukaangia chips na vitafunwa mbali mbali
Zimetengenezwa kwa stainless steel
Kila tank lina ujazo wa lita 6 za mafuta
Fryer ya umeme tank 1 @120,000
Fryer ya umeme tank 2 @240,000
Fryer ya gas tank 1@220,000
Fryer ya gas tank 2 @340,000

Bidhaa ni mpya na zina warranty
Tuko kariakoo Danda st.
Ukinunua utaletewa bure kwa Dar
Call/WhatsApp 0656666662
 
Tire sealer and inflator
Hii ni product mpya ya kisasa
Inaziba pancha mara moja hapo kwa hapo
Hubadilishi tairi wala kupiga jeck
Inafanya kazi kwa tairi za tubeless pekee
Chupa moja ina fanya kazi kwa tairi moja tu
Inaziba tair ya gari,baskeli,pikipiki
Unatakiwa ukazibe tair pancha ndani ya kilometre 80
Ni rahisi kutumia na ndani ya dakika 3 unarudi barabarani.
Bei 6000 tu kwa chupa
Tunauza kwa jumla pia
Tuko kkoo call/WhatsApp 0656666662

Your browser is not able to display this video.

 
Call/WhatsApp 0656666662
Brand new 7 inch Android car radio player
Inasupport wifi

Inakuja na gps
Quad core processor
Inakuja na camera yake ya nyuma
Ina option ya kuconnect na simu
Ina play music na miziki yote kwenye flash

Ina accessories zake zote
Bei 255,000 tu
Free delivery in dar
Tumia radio ya kisasa kwa gari yako.

 
Call/WhatsApp 0656666662
Brand new 7 inch MP5 car radio
2020 design
Full Screen touch display
Ina camera ya reverse
Ina Remote yake
Ina cable zote kwa ajili ya connection
Bluetooth support
Inasupport usb na memory card
Inaplay movies,miziki yote
Mirror link with phone
Nauza hata piece 1 kwa bei ya jumla 140,000 tu
Inafunga katika gari yoyote
Kwa dar free delivery
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…