KARIBU KINGLION
Member
- Jun 28, 2025
- 58
- 52
Hizo price ni kwa 1 meter despite width?
Nasubiria ajibu pia, kina taarifa nazitafuta kidogo hapa naweza pata mwanga mkuu.Aisee watu mna mitaji! Hivi hiyo coil moja bei gani kwa mfano!
Hizo price ni kwa tani mkuu wangu. Tumetumia dola, zibadilishe kuwa pesa za Kitanzania.Hizo price ni kwa 1 meter despite width?
Sahihi kabisa. Tumetumia bei ya dola kwa kila tani.Dola hizo bila shaka
Sema bado unatuchanganya .ebu tuwekee kwenye coil Moja bei gani Kwa shilingi.Sahihi kabisa. Tumetumia bei ya dola kwa kila tani.
Coil tunauza kuanzia tani 1, tunatengeneza coil kulingana na uhitaji wa mteja. Bei inatofautiana kulinga na unene wa coil unayonunua. Kwa mfano unahitaji coil ya aluzinc yenye unene wa 0.18. Hii coil tani moja tunauza dola 1360, hii ni sawa na pesa za kitanzania shilingi 3,590,400. Kwahiyo coil moja ya tani moja, yenye unene wa 0.18 bei yake ni shilingi za Kitanzania 3,590,400.Sema bado unatuchanganya .ebu tuwekee kwenye coil Moja bei gani Kwa shilingi.
Hapa sawa.na hizo screpa mnauza vipi au maelewanoCoil tunauza kuanzia tani 1, tunatengeneza coil kulingana na uhitaji wa mteja. Bei inatofautiana kulinga na unene wa coil unayonunua. Kwa mfano unahitaji coil ya aluzinc yenye unene wa 0.18. Hii coil tani moja tunauza dola 1360, hii ni sawa na pesa za kitanzania shilingi 3,590,400. Kwahiyo coil moja ya tani moja, yenye unene wa 0.18 bei yake ni shilingi za Kitanzania 3,590,400.
1000 kwa 1300Hapa sawa.na hizo screpa mnauza vipi au maelewano