Tunauza engine used za Mercury Outboard 2-Stroke zenye 40hp

Offshore Seamen

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2018
Posts
5,489
Reaction score
14,091
Tunauza engine used za boti aina ya Mercury Outboard 2-Stroke zenye 40horse power.

Engine hizi zina 697cc ni inline 3 cylinder, zinatumia petrol na 2 stroke oil ,uwashaji wake ni wa kuvuta kick na usukani ni wa mkono.



Engine zimekaguliwa na kutestiwa baada ya kufika Zanzibar, Engine zinapatikana Zanzibar Mtoni bei ni shillingi 2.5million.

Kwa walio mikoani utatumiwa kwa gharama zetu mpaka ulipo.
Contact: 0655361223
 
Tafuteni branch bara mtu anafanya booking mzigo ukifika analipia anachukua biashara za Zanzibar nani asiyezijua zilivyopasua kichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…