INAUZWA Tunauza Friji na Freezer kwa bei nafuu

ADH fridge 110L
Urefu 3.6FT
Upana 1.9 FT
Bei :460,000/=
3 years warranty
 
Nahitaji kurepair mini fridge aina ya Westpoint. Kuna mahali imetoboka gas yote imetoka ila motor inafanya kazi.

Nahitaji freezer kubwa ya biashara bei yake pamoja na deliverage ni kiasi gani ndani ya wilaya Ilala? Terms za malipo?
 
Mkuu karibu sana sikuwepo hewani
Freezer kubwa la kiasi gani?
terms za malipo ni unaletewa mzigo ndio unalipia mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…