INAUZWA Tunauza funiture za nyumbani na ofisini Kwa bei rahisi

INAUZWA Tunauza funiture za nyumbani na ofisini Kwa bei rahisi

Joined
Jun 21, 2021
Posts
25
Reaction score
7
Karibu ujipatie causal leser bench kwa matumizi ya ofisini, dinning room, sitting room na chumbani.

Tunapatikana tabata 0767601018.

causal leser bench 150,000.
Mito 20,000 mmoja
Zulia 15,000

Tunafanya delivery Dar na mikoani.

IMG-20210704-WA0001.jpg


IMG-20210704-WA0000.jpg
 
Kula 50k kwa benchi, mito na zulia boss
Nashukuru boss offa yaku nzuri ila haita tulipa kutokana na material yaliyotumika na nguvu kazi tafadhali tunakuomba sana utuungishe kama tulivyo ainisha bei zetu tutakufikishia ulipo na utalipa tukifika
 
Wadau kwanza Tunatanguliza Shukrani za dhati Kwa kutuunga mkono sana kwenye bidhaa zetu tulizoweka humu apo awali.

Tunawaletea magical box Sofa yenye matumizi lukuki nyumbani na ofisini

Magical Sofa box unaweza itumia nyumbani kuhifadhi nguo, vitabu, journals,novals, mito., mashuka nk

Magical Sofa box unaweza itumia ofisini kuhifadhi vitabu, files, documents, computer nk.

It is real magical Sofa box due to its mult purposes pamoja kwamba unaweza kutunza vitu ndani pia unaweza kuitumia kukaa Kwa juu au kulala.

Ni nzuri sana Kwa ofisi na nyumbani, kutokana na uimara wake, leser material zilizotengenezea magical box sofa zinaipa uimara wa kudumu zaidi.

Zinapatikana kwenye rangi nyeusi,red na Brown.

Bei 250,000

Ofisi zinapatikana tabata
0767 601018

Hutajuta kuwa na hii kitu ofisini au nyumbani
 

Attachments

  • VID-20210710-WA0005.mp4
    7.6 MB
Back
Top Bottom