Wadau kwanza Tunatanguliza Shukrani za dhati Kwa kutuunga mkono sana kwenye bidhaa zetu tulizoweka humu apo awali.
Tunawaletea magical box Sofa yenye matumizi lukuki nyumbani na ofisini
Magical Sofa box unaweza itumia nyumbani kuhifadhi nguo, vitabu, journals,novals, mito., mashuka nk
Magical Sofa box unaweza itumia ofisini kuhifadhi vitabu, files, documents, computer nk.
It is real magical Sofa box due to its mult purposes pamoja kwamba unaweza kutunza vitu ndani pia unaweza kuitumia kukaa Kwa juu au kulala.
Ni nzuri sana Kwa ofisi na nyumbani, kutokana na uimara wake, leser material zilizotengenezea magical box sofa zinaipa uimara wa kudumu zaidi.
Zinapatikana kwenye rangi nyeusi,red na Brown.
Bei 250,000
Ofisi zinapatikana tabata
0767 601018
Hutajuta kuwa na hii kitu ofisini au nyumbani