Comrade Ally Maftah
Member
- Nov 6, 2016
- 92
- 280
Mkuu huyu member hajibu, huu ni Uzi wa pili anauanzisha kunadi bidhaa zake lakn hajibu maswali ya wadau.How does it work?
Matokeo yake anakosa watejaMkuu huyu member hajibu, huu ni Uzi wa pili anauanzisha kunadi bidhaa zake lakn hajibu maswali ya wadau.
Hapa kwa kuokoa muds fika youtube uone zinavofanya kazi mkuuHow does it work?
Kabisa yaani wabongo kwa kupaisha bei juu aweke bei reasonable apate wateja tupo wengi tunahitajiHiki kimashine nakihitaji sana ila kwa bei hio hapana. Mbeya tu laki4 na nusu.LPanga bei reasonable tunajua bei zake halisi ila hatuna mda wa kuagiza Alexp au Alibaba. Sasa msitupige bei za ajabu. Tutaendelea kutumia makwanja halafu mlie njaa. Wakija wavhina kuuza bei rafiki mnataka wafukuzwe. Jirekebisheni jamani.