Home decoration
Member
- Oct 19, 2018
- 27
- 24
karibu sana boss wangu.Nneipenda hyo always thank positive & keep working
Asante kiongozi, ngoja niedit tangazo hapo niweke namba yangu ya simu na naendelea kuweka bidhaa mbalimbali.Bidhaa ni nzuri boss wangu lakini kuboresha ungeweka na namba ya simu ili mteja iwe rahisi kuagiza mzigo hata kama atakuwa mbali.
Endelea kuweka bidhaa nyingi zaidi ili Wateja tuwe na wigo wa kuchagua 🙏