Plot4Sale Tunauza kiwanja Goba

Dalali KinG

Senior Member
Joined
Jan 16, 2019
Posts
102
Reaction score
71
TUNAUZA KIWANJA GOBA KULANGWA

Kipo Umbali Kilomita 1.5 Kutokea Barabara ya Lami ya Goba/Madale Jirani na Shule ya Msingi " Future Kings "

Kina Sqm 500 ( Mita 25 Kwa Mita 20 )
Kiwanja Kimepimwa ( Mawe Yapo) Kina Offa ( Ukinunua Unasaidiwa Kupata hati )

Bei Tshs : 12, 500,000 ( Milioni 12.5 )
Our Contact : 0686 648630

** Umeme Upo, Barabara Nzuri hadi Kwenye Kiwanja **


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia Kuna Kiwanja Cha Sqm 1000 ( Mita 40 Kwa Mita 25 )

Kimepimwa Kina Mawe, hati Utasaidiwa Kuipata Ukinunua Kiwanja.

Bei Tshs 25,000,000 [ Milioni 25 ]
Our Contact : 0686 648630

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiwanja Kina Ukubwa wa 800Sqm (40 × 20 ), bei ni Tshs 14 Milioni.

Pia Unaweza Kukatiwa 400Sqm ( 20 × 20 ) bei ni Tshs 7Milioni.

Umiliki : Hati ya Ununuzi ya Serikali ya Mtaa.

Kipo Umbali wa Kilomita 2 toka Salasala Mwisho Wa Lami.

Umeme Upo, Barabara nzuri gari hadi Kwenye Kiwanja .

Our Contact : 0686648630

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunauza Kiwanja MbeziBeach, 300 Mita kutoka bagamoyo road.

Kina 1000sqm, Kimepimwa kina mawe tayari kipo kwenye mchakato wa kupatiwa hati.

Bei Tshs 300 Milioni ( Maelewano Yapo )

Our Contact : 0686648630

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiwanja 30M × 30M ( 900Sqm) , Kimepimwa ila hati bado. Bei Tshs 18 Milioni ( 18,000,000/= )
0686648630

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo lako umeweka udalali kiasi kikubwa punguza bei

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…