Tunauza kuku chotara kwa bei ya jumla

TONY LOVE

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
720
Reaction score
381
Habari zenu wadau,

Tunauza kuku aina ya chotara wenye kilo 5 na kuendelea tupo pwani mkuranga,Bei ya jumla kuanzia 18000.majogoo na majike 15000.wapo 300.karibuni Sana,mawasiliano,0789881466 na 0622310464.

Unaletewa kama unachukua wengi kuanzia 100.
 
Mbona hampatikani hizi no. Mlizoweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…