INAUZWA Tunauza mabalo ya nguo za mtumba

Joined
Dec 20, 2016
Posts
96
Reaction score
115
Karibuni sana vunjabei mtumba grade1 wauzaji wa balo za mtumba grade 1 kutoka China Dubai uturuki Canada

Tuna balo za nguo aina zote kama

Gauni jeans suruali Koti blouse skirt tshirt jeans kadeti pens Shati Viatu mabegi pazia shúka

Tunapatikana Ilala boma dar es salaam mtaa wa mwanza

Mawasiliano 0657710078

Mkoani tunafanya delivery karibuni sana
 
Uzi ulibuma maana hukuweza kuweka bei ya balo zako na nguo zake.
 
Vp tlioko mikoan kama mwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…