zebanga watelanga
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 862
- 398
Chukua 7 mkuutoyota noah
Bei:8,850,000
Mwaka: 2003
Aina ya Mafuta: petrol
Umbali: km 116,003
Injini 1998
Transmission: automatic ,,,,,,,vimelipiwa vibali
ac inafanya kazi vizuri na redio ipo powa
Linapatikana ,,,,,,,,Kaliakoo Dar es salaam
0755984282
Which location do you available?naitaji scania tipper kwajina lingine (mende) ninapatikana Dar es salaam
sifa
liwe tani 17 kuendelea mbele
liwe namba A,B,C
Likiwa limelipiwa vibali nivizuri zaidi/ ila kama hajalipiwa pia sio tatizo tutazungumza
bajeti yangu mill 30 inaweza kuongezeka/kupungua kulingana naubora wagari
Mawasiliano
simu 0712690760 au 0755984282
Ipo ya milioni 70Nahitaji scania tipper kwa jina lingine (mende) ninapatikana Dar es salaam
sifa
Liwe tani 17 kuendelea mbele
Liwe namba A,B,C
Likiwa limelipiwa vibali ni vizuri zaidi, ila kama hajalipiwa pia sio tatizo tutazungumza
Bajeti yangu mill 30 inaweza kuongezeka/kupungua kulingana na ubora wa gari
NB:
Imetembea km ngapi?
Ya mwaka gani?
Na tan ngapi?
Mawasiliano
Simu 0712690760 au 0755984282
Nahitaji scania tipper kwa jina lingine (mende) ninapatikana Dar es salaam
sifa
Liwe tani 17 kuendelea mbele
Liwe namba A,B,C
Likiwa limelipiwa vibali ni vizuri zaidi, ila kama hajalipiwa pia sio tatizo tutazungumza
Bajeti yangu mill 30 inaweza kuongezeka/kupungua kulingana na ubora wa gari
NB:
Imetembea km ngapi?
Ya mwaka gani?
Na tan ngapi?
Mawasiliano
Simu 0712690760 au 0755984282
Weka details zake kwa urefu mkuu, ikipatkana mbali na nyumbani unaweza igharamia nikutumie..??Nahitaji scania tipper kwa jina lingine (mende) ninapatikana Dar es salaam
sifa
Liwe tani 17 kuendelea mbele
Liwe namba A,B,C
Likiwa limelipiwa vibali ni vizuri zaidi, ila kama hajalipiwa pia sio tatizo tutazungumza
Bajeti yangu mill 30 inaweza kuongezeka/kupungua kulingana na ubora wa gari
NB:
Imetembea km ngapi?
Ya mwaka gani?
Na tan ngapi?
Mawasiliano
Simu 0712690760 au 0755984282
Hivi gari kuwa km 0 inakuwaje,imeshushwa kutoka mbinguni au ???OFFER NOW 2015 LAND CRUISER PRADO NEW BRAND
YANAPATIKANA DAR ES SALAAM --- SINZA
imelipiwa nakodi SH 139,000,000
Aina ya Mafuta: PETROL
Umbali: km 0
Injini (cc): 2700
Transmission: AUTOMATIC
VITI VYANGOZI , 3 SCREEN, 4CAMERA, SUNROOF
VILEVILE UNAWEZA WEKA ODA
0712690760