Car4Sale Tunauza Magari aina mabalimbali

Umeshindwa kuandika vizuri, hata picha nazo zimekushinda kuweka. Picha uliyoweka haielezei chochote kuhusu hiyo nyumba wala mazingira ilipo. Kuwa serious!
 
Biashara hasa za mtandaoni zinahitaji u-serious hasa lipokuja suala la lugha na maelezo ya biashara. Hivyo nakushauri tafuta mwandishi awe anakusaidia kuposti kitu cha kueleweka. Sasa unaandika HINAPANGISHWA badala ya INAPANGISHWA unawavuruga wateja.
Bwana mwenye kuitaji atapiga Simu nakuja kuikaguwa hizi mbwembwe kibao zanini bro wewe umesoma umesahihisha hinatosha
 
Umeshindwa kuandika vizuri, hata picha nazo zimekushinda kuweka. Picha uliyoweka haielezei chochote kuhusu hiyo nyumba wala mazingira ilipo. Kuwa serious!
Iyo nyumba sio gari njoo ona boss punguza kuchangia Mambo kibao walio seriously washaga kuja kuikaguwa hizi zingine mbwembwe
 
Iyo nyumba sio gari njoo ona boss punguza kuchangia Mambo kibao walio seriously washaga kuja kuikaguwa hizi zingine mbwembwe
Hakuna mtu serious atakayekuja kwa kitangazo chako hiko, labda awe anaijua kabla ya kutangaza. Utapata madalali uchwara tu.
Hao wanaoweka picha za kuonyesha ndani kukoje, nje, maeneo yaliyoizunguka n.k unafikiri ni wajinga wewe ndio una akili?
Chukulia nilichokwambia kama ushauri sio unapinga tu
 
Kwenye kodi bora hata ungeweka milioni 1 kwa mwezi! Vyumba 10 kwa milioni 1.25 mpaka biashara ije izoeleke, si utakuwa sasa umegawana faida sawa na mwekezaji wako!

Maana kwa mwonekano tu hiyo nyumba imejengwa miaka mingi iliyopita! Hivyo na muundo wa vyumba vyake nao utakuwa ni zilipendwa.
 
Walisha kuja Bei na mashart mkuu tumeshindwan ndugu Mimi nichangu nitapata tu mkuu wewe Kwan Mungu
 
Walisha kuja Bei na mashart mkuu tumeshindwan ndugu Mimi nichangu nitapata tu mkuu wewe Kwan Mungu
Kwa picha hiyo utawauzia majirani zako labda, trust me. Mtu hawezi kutoka mbali aje kutazama labda kama anatafuta banda la kuonyesha mpira. Na ndio maana mnashindwana bei, we unataja ya nyumba yeye anataja ya banda 🤣
Anyway, dont urgue with ...
Endelea na utaratibu wako mkuu, si lazima kufuata ushauri hapa duniani
 
Noah sr40 WHATSAPP[emoji336] 0712690760
Mwaka:1999
Engine capacity:1980
Km 138654
[emoji618] petrol
Automatic
Engine safi gia Box safi
Ipo: kinondoni
[emoji383] MILL 8
[emoji336] 0712690760/0755984282
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…