Car4Sale Tunauza Magari aina mabalimbali


Acha mawazo ya kimasikini.
 
Dah!!!umasikini bhana!!!!
 
Uliifikisha hapo yadi kwa kuibeba mkuu. Maana km 0 maana Yake tairi haijawahi zunguka
 
Gari nzuri., tatizo ukinunua hilo lazima wale jamaa waende benki kuomba bank statement yako
 
Ya we we una matatizo kwani umelazimishwa ununue gari wewe kaa kwenye baiskeli ni mtu ambae anatangaza biashara yake je kwani wewe si utangaze za baisikeli yako
 
Nje ya mada samahani

Hivi wadau hii gari ina nini cha ziada mpaka ilingane bei na land cruiser v8, ilhali hata kimuonekano haishtui kama v8?????.
 
Unafahamu bei ya Land Cruiser V8 ya 2015?? Acha kulinganisha simba na mbwa bro!!
Nimekutana nazo humu mara kibao tu ndio maana nikashangaa, hata huko kupatana yard zipo pia kwa bei hizi ndio chanzo cha mshangao.
 
Nje ya mada samahani

Hivi wadau hii gari ina nini cha ziada mpaka ilingane bei na land cruiser v8, ilhali hata kimuonekano haishtui kama v8?????.
Acha utani bana. Hailingani bei na v8. Mwaka juzi ofisini tumenunua v8 kwa dola 70, 000 bila kodi. Ukikokotoa kodi lazima ije mil 200 na ushee
 
Naomba kujua Bei ya Ford Ranger(Double Cabin) 2010 kuja juu. My Dream Car. Hata Used.
 
Reactions: MC7
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…