Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,170
Imelipiwa na kodi mkuu, ingekuwa ni v8 hapo bei ingekuwa around 300ml TZS.Nje ya mada samahani
Hivi wadau hii gari ina nini cha ziada mpaka ilingane bei na land cruiser v8, ilhali hata kimuonekano haishtui kama v8?????.
Kaka hiyo ni automatic sema gear lever muundo wake ni kama wa za kawaida za mannual haya madude ndo yalivyoHalafu picha ya tano inaonesha transmission ni ya manual tofauti na maelezo yako kwamba ni automatic unless iwe na zote both automatic&manual transmission.
Kama sijakosea mkuu MAGARI7 aliwahi kuweka tangazo la gari kama hiyo mpya kabisa, ilikuwa na transmission ya automatic na manual, kwahiyo unachagua utumie ipi.Kaka hiyo ni automatic sema gear lever muundo wake ni kama wa za kawaida za mannual haya madude ndo yalivyo
Njoo arusha tukuuzieNaomba kujua Bei ya Ford Ranger(Double Cabin) 2010 kuja juu. My Dream Car. Hata Used.
ni kweli kuna ambazo ni semi automatic, lakini hii huwezi kusema kuwa sio automatic kwa kuangalia tu kirungu cha giaKama sijakosea mkuu MAGARI7 aliwahi kuweka tangazo la gari kama hiyo mpya kabisa, ilikuwa na transmission ya automatic na manual, kwahiyo unachagua utumie ipi.
Maneno makali sn kwa mtt.aaaah kuwa na busara kdg hahahaUnafahamu bei ya Land Cruiser V8 ya 2015?? Acha kulinganisha simba na mbwa bro!!
Nakushaur ubadlshe ya kwako mana imeongeza idadi yke zaid aiseeehHizi gari zimekuwa nyingi sana kwa sasa..
haaaa haaaa dah jf muda mwingine raha sana kunawatu wakiona tangazo lazima wandike chochote ila ndio tumesha hizoeaNakushaur ubadlshe ya kwako mana imeongeza idadi yke zaid aiseeeh
Hizi Prado, pamoja na zile za toleo la nyuma, gear lever yake inafanana sana na manual kumuonekano. Ila hii ya auto ina ile button pembeniHalafu picha ya tano inaonesha transmission ni ya manual tofauti na maelezo yako kwamba ni automatic unless iwe na zote both automatic&manual transmission.