Hapana mkuu kwangu mimi naona kukopa chombo cha moto ni kaburi.Kwann mkuu au ni vibaya nikitangaza biashara?
Haya mambo ya kuvutana chemba mkuu.Mkuu huduma zetu mteja anapata mkopo mpaka nusu ya gharama ya gari husika na yeye analipia nusu. Nimeweka mawasiliano kama utahitaji mahesabu ya gharama na kila kitu.
Mkuu gari ipo lakini pia kama unaona shida kunitafuta kwa namba ya simu nmetoa unaweza fika ofisini kwetu nmetoa location hapo kwenye tangazo au kama pia utakosa imani basi hachana nayo tu tafuta option nyingine utaona kwako inakupa amani.Haya mambo ya kuvutana chemba mkuu.
Mnayo kwanza? Au mtaagiza?