dvj nasmiletz
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 2,150
- 2,325
Mtoto wetu anafaa kutumia haya magari?Ngoja nianze kujichanga nipeleke zawadi sehemu
Yes Honey 😜Mtoto wetu anafaa kutumia haya magari?
karibuNgoja nianze kujichanga nipeleke zawadi sehemu
mkoani unatumiwa...malipo kabla...lakini vizuri zaidi kama una mtu wa karibu uku dar ndio akutumieWa mikoani, malipo ni baada ya upokea mzigo au kabla?
Kichwa cha tangazo kimenistua sana!Nikajua huu ni muda muafaka wa kumkomesha mkuu@madmax.Kumbe ni matoy!?Tunauza magari ya watoto kuanzia miezi 6 hadi miaka 15 tupo dar es salaam...
yapo ya rangi na size/muonekano tofautitofauti..
Unachaji siku masaa 12 na pia yanatumia rimoti,na mengine yana muziki kabisa piga 0627474141/0773474141
MNUNULIE MWANAO ZAWADI HII NZURI HASA MSIMU WA LIKIZO ATAENJOY SANA
Inabidi mwaka huu usiishe hivi hivi, tujitahidi kuweka mapacha sita, kila mmoja awe na kagari cha kuchezea.Yes Honey 😜