Car4Sale Tunauza magari ya aina mbalimbali

Car4Sale Tunauza magari ya aina mbalimbali

m-yala

Member
Joined
May 13, 2014
Posts
65
Reaction score
93
✍🏾Kwa jina Naitwa CECE motors. Najishughulisha na Uagizaji wa Magari mapya aina zote na nchi tofauti tofauti kama Japan,UK,Dubai, Singapore, e.t.c

👉🏼Pia Nafanya Clearing and Forward Agent Kwa Mizigo yoyote uliyoagiza/Utakayoagiza kama vile Magari,Makontena, E.t.c

👉🏼 Bila kusahau tunatoa Mikopo ya Magari Ambayo tayari yapo Showroom ndani ya Miezi 12-24 tu. Karibuni sana wateja Wang🤝🏾

👉🏼Pia Nafanya Transfer za Magari na Pikipik aina zote, Bila kusahau Nakata Leseni ya Udereva Kwa madalaja yote ukiitaji nicheki 👎🏽

📌Kwa maelezo zaidi nicheki Kwa namba zifuatazo

🌀CALL/SMS
0764423726▶️ Vodacom
🌀 CALL/SMS
0737142315▶️
TTCL
 
Mbona nasikia TOYOTA TANZANIA LTD ndiyo kampuni pekee ya kuagiza magari mapya (Brand New) kutoka Japan kwa Tanzania.
Au hii habari si ya kweli?
 
Habari za Leo wadau.

Gari nzuri aina ya BMW X3 Iko sokoni ya mwaka 2007. Iko ktk hali nzur Haina kipengele kabisa. Tunataka kubadili gari tu ndo mana inauzwa. Iko tayari kwa ukaguzi any time (daytime).

CC 2500.

Engine model Kimota N52.

IMG-20221016-WA0018.jpg
 
Habari za Leo wadau.

Gari nzuri aina ya BMW X3 Iko sokoni ya mwaka 2007. Iko ktk hali nzur Haina kipengele kabisa. Tunataka kubadili gari tu ndo mana inauzwa...
Bei?
 
Namba ya simu 0764 423726
0759 322889
0737142315
BMW X3 no D. Wahi chap kwa haraka tufanye biashara.
 
Weka bei, atakayeona
Namba ya simu 0764 423726
0759 322889
0737142315

BMW X3 no D. Wahi chap kwa haraka tufanye biashara.
Namba ya simu 0764 423726
0759 322889
0737142315

BMW X3 no D. Wahi chap kwa haraka tufanye biashara.
Weka bei atakayeona bei anaimudu atakutafuta... usiseme eti anayeihitaji atakutafuta ndio umpe bei!
Hata aliyeinunua hiyo gari aliona bei kabla!
 
Wabongo na biashara zao kama wanauza ngada au bangi kila kitu siri. Sasa bei ni kitu cha kuficha kwa mteja?
 
Habari wadau wa magari.

Gari chassis no Subaru Forester inauzwa.
Rangi metalic black.
Mwaka 2010
Cc 1990
Mileage 65000
Bei 29+ registration.
Offer ya Bima mwaka mzima bure.
Namba ya cm 0764423726
0759 322889
0737142315.

IMG-20221023-WA0012.jpg
 
biashara ya magari ina hela sana yaani gari kuagiza 20m mpaka 21m unauza 29m faida kama 9m daah noumah sana
 
I hope mtoa mada hauko serious
NB: no offense intended [emoji120]
 
Back
Top Bottom