Kenned elisante
Member
- May 23, 2018
- 70
- 19
54,000kmImetembea kilometers ngapi?
Zipo... Naomba namba yakoZa abiria je kama Coaster, Hiace nk
Sijaelewa,NISSAN XTRAIL
Year 2005
Engine~cc1990
Drive~4wd
|•••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
BEI~12.1mil
{unaweza kulipia awamu mbili}
Malipo ya kwanza~6.4mil
#acjsamora
[emoji338][emoji336]0715558258
*************************************
Tupigie kwa namba ya simu hii 0715558258View attachment 938515View attachment 938516
Sijaelewa,
Hii gari tayari unayo Mkononi au nilipie ili wewe uniagizie Japan?
Kama uniagizie, una kampuni yako, unafanya kwenye kampuni ya mtu au wewe ni mtu tu binafsi?
Nini faida ya kuagiza kupitia wewe na sio mimi mwenyewe?
Na hiyo 4wd ni full time au optional?
Pia shibisha maelezo kama Odometer, Engine Type, Transmission, etc
Hapana hatukopeshi... Tunakuruhusu ulipe awamu mbiliMnakopesha? Masharti yakoje labda ...
Asante karibu sanaMkijipanga mtakula vichwa sana
Asante..Sijaelewa,
Hii gari tayari unayo Mkononi au nilipie ili wewe uniagizie Japan?
Kama uniagizie, una kampuni yako, unafanya kwenye kampuni ya mtu au wewe ni mtu tu binafsi?
Nini faida ya kuagiza kupitia wewe na sio mimi mwenyewe?
Na hiyo 4wd ni full time au optional?
Pia shibisha maelezo kama Odometer, Engine Type, Transmission, etc
Ndio kila kitu mpaka usajiliHiyo bei ni full pamoja na usajiri?
Naomba namba yako tuwasilianeNahitaji hiyo pamoja na Ushuru wake. Mimi ni mpenzi wa Old Cars Kenned elisante
View attachment 939374
Toyota Land Cruiser BJ-42 (Diesel)