Car4Sale Tunauza magari ya kila aina

SUBARU FORESTER
Year~2004
Grade~cross sports alpha
Drive~4wd
Engine capacity~1990cc
Airbags,ac,pw,ps, automatic
••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
BEI~12.9mil
{unaweza kufanya awamu mbili}
Malipo ya kwanza~5.2mil
#acjsamora
[emoji338][emoji336]0715558258
 
TOYOTA RUNX
Year~2003
cc~1490
Drive~2wd
••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
BEI~12.7mil
{Unaweza lipa Mara mbili}
MALIPO YA AWALI~6.5mil
[emoji338][emoji336]0715558258
 
Ni PM bei ya wish 2006
Nyeusi au grey,red
 
Na je dhamana ni nini baada ya kuchukua gari
Ndugu gari ni ya kuagiza kutoka Japan malipo ya kwanza ni kwa ajili ya kuagiza gari kutoka Japan hadi dar es salaam... Malipo ya pili ni gharama za tra na mambo yote mpaka usajili wagari... Hatukopeshi ila tunauza
 
Hamna Gari ambazo ziko DAR tayari? [emoji45] HAMNA SHOW ROOM???? [emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji45]
 
Picha mbaya!!!
Kwa nini usiweke maandishi kwa chini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…