INAUZWA Tunauza magodoro. Usafiri bure mpaka ulipo ndani Dar es Salaam

Zile godoro wanapenda kuzitumia sana wenye hotel, zinakuwa na mneso sana yaani ukilala kama unaelea ivi zile ni za material gani?

Na je zinapatikana wapi?
 
Na risiti napataje?
 
Zile godoro wanapenda kuzitumia sana wenye hotel, zinakuwa na mneso sana yaani ukilala kama unaelea ivi zile ni za material gani?

Na je zinapatikana wapi?
Nyingi huwa ni spring boss karibu sana zipo 0657050325
Kama Hizo boss
Mkuu Ivi hizi godoro za springs utofauti wake na hizi za kawaida ni upi, kwa maana ya mneso je zinanesa sana au ni kawaida tu?
 

Attachments

  • IMG_9005.mov
    23.2 MB
  • IMG_8997.mov
    17.7 MB
Vita supreme 5x6
Inchi 6?
Inchi 8?
Inchi 10?
Naomba kujua gharama mkuu
Karibu sana mkuu hapo kuna inchi sita 260000
Inchi 8 ni 320000
Na inchi 10 ni 370000
Hapo zote ni zenye draft boss Kama hizi hapa
 

Attachments

  • IMG_9085.jpeg
    2.1 MB · Views: 3
  • IMG_9083.jpeg
    2.1 MB · Views: 3
  • IMG_8985.jpeg
    2.2 MB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…