Plot4Rent Tunauza Mashamba na Viwanja

Salaam,
Kiwanja kinauzwa kipo Kinyerezi mwanzo (kituo cha mbuyuni)
Kiwanja kina ukubwa wa sqm 1440 (48*30)
Kiwanja kipo umbali wa meter 400 kutoka barabara ya lami.
Kiwanja kina hati miliki (tittle deed)
Kiwanja kipo katika mazingira mazuri na ni tambarare.


Price: 42m
Contact: 0756 832833
 
panaonekana pazuri, ila punguza bei kidogo, yaani spm 1 tshs 27 alfu.
 
Tshs 28,000,000/Sqm 1225
= Tshs 22,857/Sqm 1
 
Kiwanja kinapatikana tegeta madale
Km 5 kutoka mataa ya njia ya kwenda kiwanda cha twiga cement.
Kipo kituo cha Contena.

MAELEZO
kiwanja kimepimwa na kina hati miliki.
Ukubwa ni sqm 1600.
Kiwanja chote ni tambarare na kipo kwenye mtaa mzuri.
Bei: 30m
More inquiries: 0756 832833
 
Hapa sio pale uwanjani karibu na Yale makaburi au macho yangu yamepoteana...?
 
Salaam,
Kiwanja kinapatikana TEGETA wazo (mji mpya)
Umbali kutoka kiwanda ch cement (twiga) ni km 2.5km
Kiwanja kipo mahali pazuri na chote ni tambarare
Kipo full surveyed process iliyobaki ni kufuatilia hati tu.
Price : 40m
For more Info: 0756 832833

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…