Plot4Rent Tunauza Mashamba na Viwanja

An
Any feedback. Aidha soma vizuri nilivyoandika kuwa unaweza uza bei chini zaidi kuliko offer ulizopata. Asilimia 90 ya wanaouza wanahitaji hizo pesa kwa ajili ya kufanyia kitu kingine you cannot just sell your assest for the sake of selling it. Na nilikuwa nakupa tu mawazo ambayo yangeweza kukusaidia kufanya maamuzi at the end you are the one to decide! Have a cery happy new year!
 
Kama uko serious kweli, nitafute tufanye Biashara ninakitaka, nina 20M cash.
 
Mkuu usipate shida sana kuelewesha wengine ni pimbi wanalala na kuamkia kwa mama zao wanafikiri ndiyo maisha.

Ungemuuliza kwanza anaijua bei ya kiwanja au tofali?vitoto vingi sana humu siku hizi.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Tulimpa Wateja kama watatu wa mwisho anasema alimpa offer ya 32m, nadhan walishindwana ndio maana mpaka leo bado kipo.
Kipo goba
Sqm 1400
Kwa hiyo offer yako kinaweza kukufaa.
Kama uko interested tuwasiliane

Sent using Jamii Forums mobile app
Toa specification, ukubwa, Goba sehemu gani, distance kutoka rami, naitaji sana,
 
Plot Description's:
It's located at salasala, majengo.
Plot size is sqm 610
It's full surveyed plot (title deed is on process)
Distance from main road is 60-80m
PRICE: 17.5M
Kindly call/SMS through 0756 832833
N.b only serious individual are needed.
View attachment 1000067

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sihitaji Dalali yeyote tafadhali Mimi ndiye mwenye mali husika.. Wasiliana na Mimi endapo utahitaji Kiwanja Changu Kilichopo Kinyerezi.

Ahsanteni

0656949502
0692679873
Whatsapp Only ;
0738602131

Sent using Jamii Forums mobile app
 
40m unajenga nyumba tatu zenye toilet paper pale chanika
 
Salaam,
Kiwanja kinapatikana BUNJU "B", karibu kabisa na nyumba/kota za TIB
Umbali kutoka bagamoyo road ni 1.8km
Plot ni full survey with clean tittle deed
Ukubwa wa kiwanja ni sqm 1628
Kiwanja chote kipo tambarare
PRICE: 35m
call/SMS: 0756 832834



View attachment 1011990

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…