Plot4Rent Tunauza Mashamba na Viwanja

Kiwanja kinapatikana kitunda karibu na kanisa katoliki (RC)
Umbali wa km 3.5 kutoka banana (nyerere road)
Umbali wa meter 200 kutoka KITUNDA road
Kimezungushiwa michongoma
Kina meter 25*25 (sqm 625)
Miundombinu mizuri (maji, barabar etc)
Bei: 15m




 
KIWANJA kinapatikana BUNJU 'A'
ukubwa wa kiwanja ni sqm 600 (30*20)
Kipo tambarare chote.
Umbali kutoka BAGAMOYO road ni 1.5m
Kiwanja kina hati miliki.
Bei: 18m
 

Kwadilo,

Salaam. Tafadhali nifahamishe kama kiwanja hiki bado kinapatikana nione namna tunavyoweza kukiona na tuongee bei tufanye biashara. Nimejaribu kukupigia asbh hii lakini simu yako haipatikani. Nimekupigia kwa namba ya airtel inayoishia na 62. Kama ukipata notification kuwa namba hiyo ilikupigia tafadhali nicheki
 
Available
Nasikia ardhi huwa inapanda thamani kadri siku zinavyoenda! Hiki kiwanja chako uliktangaza miezi 14 iliyopita; sasa na chenyewe kishapanda thamani au bado ile ile ya Nov 2019?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…