Tunauza mashine za kutengeneza chakula cha mifugo kwa mfumo wa chenga chenga

Tunauza mashine za kutengeneza chakula cha mifugo kwa mfumo wa chenga chenga

mrkazi360

Member
Joined
Sep 19, 2023
Posts
20
Reaction score
15
Tunauza mashine za kisasa kwa ajili ya kutengenezea chakula chakula cha mifugo kwa mfumo wa chenga chenga (pellets)

● Bei zetu na uwezo wake kwa saa.

100kg/hr=1,700,000/=
150kg/hr=1,800,000/=
200kg/hr=2,000,000/=
300kg/hr=3,500,000/=
500kg/hr=4,500,000/=
1000kg/hr=6,500,000/=

●faida za kulisha kuku wako chakula cha chenga chenga

-kuku hupata lishe zote zilizo changanywa kwenye umbo moja.

-huzuia upotevu wa chakula kwani chakula hakimwagiki ovyo.

-kuku hushiba vizuri kwani anauwezo wa kuokota punje zote.

-hupunguza gharama za ulishaji.

Mashine zetu zote zinakuja na warranty ya mwaka mmoja

hutumia umeme kidogo ukinunuwa kwetu MIFUGO PLUS tutakupa ofa ya fomular zote bure za chakula pia kwa wale wateja ambao mnahitaji kulipia kidogo kidogo karibuni.

Tunaptika Dar es salaam tegeta kwa ndevu opposite na ukumbi wa The one hall njia ya kwenda jeshini kwa mawasailiano zaid piga simu

0656 446 991
0747 608 608

"KARIBUNI SANA"
 

Attachments

  • images (15).jpg
    images (15).jpg
    30.6 KB · Views: 4
Sasa tumekurahisishia lile zoezi la kukata ama kuchakata majinani au malisho ya mifugo yako.

MIFUGO PLUS tumekuletea Grass chopping machine au chaff cutter machine.

Hiii ni mashine ambayo hutumika kukata majani kwa vipande vidogovidogo sana hasa majani ya ng'ombe.

Chaff cutter hizi zinauwezo wa kukata majani marefu na mapana hadi kuwa vipande vidogo vidogo kabisa kama njiti zinauwezo wa kukata maajani mabichi na yaliyo makavu zaidi ya tani moja kwa lisaa.

Chaff cutter hizi zipo zenye uwezo wa kukata kata hadi vijiti vikavu pamoja na magunzi hadi kuwa unga kabisa.

FAIDA ZA KUCHAKATA MAJANI HADI VIPANDE VIDOGO DOGO.

-Ng'ombe hula majani ya kutosha maana hatumii muda mwingi kutafuna mdomoni.

-Husaidia umeng'enywaji wa chakula kwenda haraka sana.

-Huongeza ukuaji na uzalishaji wa maziwa na nyama.

-Hupunguza nguvu kazi pamoja na kuokoa muda.

-Nirahisi kuhifadhi malisho mengi katika sehemu ndogo pamoja na kufanya packaging.

SIFA ZA CHAFF CUTER ZETU
- Zinatumia umeme kidogo sana

-Zimeundwa na vyuma.
imara mno hivyo hudumu muda mrefu.

-Visu vyake havipungui ukali wala kuvunjika kirahisi.

-Zinakuja zikiwa na warranty ya mwaka mmoja.

-Zinabebeka kirahisi kwenye bodaboda hivyo ni rahisi kuhamishika kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine.

-Zipo zinazo tumia mfumo wa mafuta ya dizeli na hivyo unaweza tumia hata shambani ambapo umeme hakuna.

●CHAFF CUTTER ZETU ZIPO KATIKA UKUBWA TOFAUTI TOFAUTI .

Nusu tani kwa saa.
Tani moja kwa saa.
Tani mbili kwa saa.
Tani tatu kwa saa.
Tani nne kwa saa.

Bei zetu ni zakizalendo tena zinazungumzika

Wateja watakao nunuwa chafff cutter kwetu MIFUGO PLUS tutawapa elimu ya malisho ya mifugo buree kabisa.

Tunapatikana Dar es salaam tegeta kwa ndevu darajani opposite na ukumbi wa THE ONE HALL Njia ya kwenda jeshini(Bagamoyo road).

Tuna mawakala mikoani kote Tanzania.

Wasiliana nasi kwa simu

0656446991
0747608608

Au Tufollow Instagram at @Mifugo_Plus.

KARIBUNI SANA.


20231021_113035.jpg
 
Back
Top Bottom