●faida za kulisha kuku wako chakula cha chenga chenga
-kuku hupata lishe zote zilizo changanywa kwenye umbo moja.
-huzuia upotevu wa chakula kwani chakula hakimwagiki ovyo.
-kuku hushiba vizuri kwani anauwezo wa kuokota punje zote.
-hupunguza gharama za ulishaji.
Mashine zetu zote zinakuja na warranty ya mwaka mmoja
hutumia umeme kidogo ukinunuwa kwetu MIFUGO PLUS tutakupa ofa ya fomular zote bure za chakula pia kwa wale wateja ambao mnahitaji kulipia kidogo kidogo karibuni.
Tunaptika Dar es salaam tegeta kwa ndevu opposite na ukumbi wa The one hall njia ya kwenda jeshini kwa mawasailiano zaid piga simu
Sasa tumekurahisishia lile zoezi la kukata ama kuchakata majinani au malisho ya mifugo yako.
MIFUGO PLUS tumekuletea Grass chopping machine au chaff cutter machine.
Hiii ni mashine ambayo hutumika kukata majani kwa vipande vidogovidogo sana hasa majani ya ng'ombe.
Chaff cutter hizi zinauwezo wa kukata majani marefu na mapana hadi kuwa vipande vidogo vidogo kabisa kama njiti zinauwezo wa kukata maajani mabichi na yaliyo makavu zaidi ya tani moja kwa lisaa.
Chaff cutter hizi zipo zenye uwezo wa kukata kata hadi vijiti vikavu pamoja na magunzi hadi kuwa unga kabisa.
FAIDA ZA KUCHAKATA MAJANI HADI VIPANDE VIDOGO DOGO.
-Ng'ombe hula majani ya kutosha maana hatumii muda mwingi kutafuna mdomoni.
-Husaidia umeng'enywaji wa chakula kwenda haraka sana.
-Huongeza ukuaji na uzalishaji wa maziwa na nyama.
-Hupunguza nguvu kazi pamoja na kuokoa muda.
-Nirahisi kuhifadhi malisho mengi katika sehemu ndogo pamoja na kufanya packaging.
SIFA ZA CHAFF CUTER ZETU
- Zinatumia umeme kidogo sana
-Zimeundwa na vyuma.
imara mno hivyo hudumu muda mrefu.