Karibuni sana, hapa utajipatia bidhaa kama vile mashuka, mapazia, mazulia, neti, mataulo, saa, picha za ukutani, coffee table, d, vyombo kama sufria, hotpot, dinner set n.k, bidhaa za umeme kama vile pressure cooker, air fryer, oven, mabegi ya safari n.k π§³ποΈπ .Dar maeneo ya karbu unaletewa ndo unalipia.. wa mbali mikoani unachangia nauli unatumiwa au unatuungansha na rafk yako wa dar anapelekewa alaf ela tuikute kwake then yeye akutumie ππΌ.. Nauza Kwa delivery π .