INAUZWA Tunauza masweta mazuri ya watoto na watu wazima

INAUZWA Tunauza masweta mazuri ya watoto na watu wazima

politicians

Senior Member
Joined
Apr 8, 2018
Posts
154
Reaction score
124
Habari. Wadau!

Tunauza masweta ya watoto na watu wazima kwa bei nafuu kuanzia Tsh.15000 mpaka 25000 inategemeana na saizi ya mteja wetu , tupo Daressalaam maeneo ya kinyerezi,mikoani tuna tuma pia tuwasiliane 0674021866 Asante na karibuni sana.

FB_IMG_16328244290567170.jpg
FB_IMG_16328244174726891.jpg
FB_IMG_16328244477006059.jpg

View attachment 1960993View attachment 1960994
 
Binafsi sio mteja lakini tangazo lako haliko kamili.

Hujaweka bei au pricebook wala mahaki ulipo.

Fikiria nijikadirie bei, halafu niagize oda moja ili hali niko Kakonko na wewe uko Zanzibar?
 
Nipo nanjilinji huku kilwa,sijui nawezaje kupata hayo masweta ilihali haujatoa uelekeo wapi ulipo na gharama kwa sweta husika!!
 
Nipo nanjilinji huku kilwa,sijui nawezaje kupata hayo masweta ilihali haujatoa uelekeo wapi ulipo na gharama kwa sweta husika!!
Mkuu tunapatikana Dar essa laam maeneo ya kinyerezi,tuwasiliane 0674021866
 
Karibuni wadau business inaendelea wasiliana nasi kupitia 0674021866
 
Back
Top Bottom