INAUZWA Tunauza masweta mazuri ya watoto na watu wazima

Binafsi sio mteja lakini tangazo lako haliko kamili.

Hujaweka bei au pricebook wala mahaki ulipo.

Fikiria nijikadirie bei, halafu niagize oda moja ili hali niko Kakonko na wewe uko Zanzibar?
 
Nipo nanjilinji huku kilwa,sijui nawezaje kupata hayo masweta ilihali haujatoa uelekeo wapi ulipo na gharama kwa sweta husika!!
 
Nipo nanjilinji huku kilwa,sijui nawezaje kupata hayo masweta ilihali haujatoa uelekeo wapi ulipo na gharama kwa sweta husika!!
Mkuu tunapatikana Dar essa laam maeneo ya kinyerezi,tuwasiliane 0674021866
 
Karibuni wadau business inaendelea wasiliana nasi kupitia 0674021866
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…