Remmy JF-Expert Member Joined Jun 9, 2009 Posts 4,701 Reaction score 1,810 Dec 3, 2018 #1 Tunauza mayai ya chotara kuku aina ya Kenbro na Kuroiler, trei moja shilingi 13,000 tunapatikana Mbezi Makabe. Kwa mawasiliano 0658961096.
Tunauza mayai ya chotara kuku aina ya Kenbro na Kuroiler, trei moja shilingi 13,000 tunapatikana Mbezi Makabe. Kwa mawasiliano 0658961096.
mwengeso JF-Expert Member Joined Nov 27, 2014 Posts 9,286 Reaction score 6,729 Dec 3, 2018 #2 Maelezo zaidi kuhusu aina hiyo ya kuku km utagaji mayai, uzito, umri wa kukomaa, ustahimilivu wa magonjwa, nk
Maelezo zaidi kuhusu aina hiyo ya kuku km utagaji mayai, uzito, umri wa kukomaa, ustahimilivu wa magonjwa, nk
Remmy JF-Expert Member Joined Jun 9, 2009 Posts 4,701 Reaction score 1,810 Dec 3, 2018 Thread starter #3 mwengeso said: Maelezo zaidi kuhusu aina hiyo ya kuku km utagaji mayai, uzito, umri wa kukomaa, ustahimilivu wa magonjwa, nk Click to expand... Labda kwa Kenbro, Kuroiler wameenea nchini na wanajulikana
mwengeso said: Maelezo zaidi kuhusu aina hiyo ya kuku km utagaji mayai, uzito, umri wa kukomaa, ustahimilivu wa magonjwa, nk Click to expand... Labda kwa Kenbro, Kuroiler wameenea nchini na wanajulikana
Remmy JF-Expert Member Joined Jun 9, 2009 Posts 4,701 Reaction score 1,810 Dec 3, 2018 Thread starter #4 Kenbro Wana umbo kubwa, wanakua haraka hufikia Hadi kilo 4 kwa jogoo ndani ya miezi 6 Kama atalishwa vizuri, hutaga mayai 20_25 kwa mtago mmoja. Ana nyama nyingi na tamu.
Kenbro Wana umbo kubwa, wanakua haraka hufikia Hadi kilo 4 kwa jogoo ndani ya miezi 6 Kama atalishwa vizuri, hutaga mayai 20_25 kwa mtago mmoja. Ana nyama nyingi na tamu.