Karibu kampuni yaLIVING EGGSCOMPANY LIMITED
Tukuhudumie .
Tupo MOROGORO,
=> •KIHONDA _ MTAA MANYUKI na Mazimbu Road,
=> •GAIRO _ MTAA MAGOWEKO na Sheli ya Shabiby.
TUNATOA HUDUMA ZIFUATAZO • Kuuza mayai ya kuku wa Kisasa & Kienyeji. Jumla na rejareja . • Tunapokea orders Ukiwa na SHEREHE,MAHAFARI,MIKUTANO n.k. • HOTELS,RESTAURANTS,SHOPS wanaingizwa ktk mfumo wa prepaid kila baada ya week au mwezi ndiyo malipo yafanyike . • Prepaid kwa wafanyakazi waajiliwa na watu binafsi pia ipo . Hii ni kwa wateja wa Morogoro mjini,Mvomero,Gairo na Kibaigwa kwa kuzingatia vigezo .
NB:
Huduma ya HOME DELIVERY BUREbila malipo ya usafiri hadi kwako.
Hii ni kwa wateja wa Morogoro mjini,Mvomero na Gairo.
Njia za malipo ni;
1. Cash
2. Tigo pesa
3. NMB Bank