thomasminja
Member
- Jan 1, 2014
- 7
- 0
Umeweka tangazo as if kila mtu anafahamu unakopatikana. Au unataka wateja wakupigie simu kwanza wakuulize hiyo miche inapatikana Mkoa/eneo gani ndani ya hii mchi?🌱 Miche Bora na Safi ya Matunda 🌱
Unatafuta miche yenye ubora wa hali ya juu kwa ajili ya bustani yako?
Tunatoa miche bora na safi ya matunda ambayo huanza kuzaa ndani ya miaka 2 hadi 3, kutegemeana na aina ya tunda na utunzaji wake.
✅ Miche yenye ubora wa hali ya juu
✅ Ukuaji mzuri na afya bora
✅ Huanza kuzaa kwa muda mfupi
Karibu sana tuzungumze biashara ya kilimo.
Tupo tayari kukushauri na kukupatia miche inayokidhi mahitaji yako. 🌿🍊🥭
Mawasiliano: Call & WhatsApp 0754 982 826View attachment 3627731View attachment 3627732View attachment 3627733
Msije kuingia mkenge to identify yourselves. Chawa wako humu kibao wanatafuta watu. Kuweni macho sana na matangazo ya aina hiiUmeweka tangazo as if kila mtu anafahamu unakopatikana. Au unataka wateja wakupigie simu kwanza wakuulize hiyo miche inapatikana Mkoa/eneo gani ndani ya hii mchi?
Mjomba usiwavimbishe kichwa. Waweke namba tuwapigie. Wakileta upuuzi wao tutapambana kwenye eneo la tukio.Msije kuingia mkenge to identify yourselves. Chawa wako humu kibao wanatafuta watu. Kuweni macho sana na matangazo ya aina hii
Tàhadhali siyo woga!Mjomba usiwavimbishe kichwa. Waweke namba tuwapigie. Wakileta upuuzi wao tutapambana kwenye eneo la tukio.