joackagrovet
Member
- Sep 11, 2024
- 9
- 9
TUNAUZA MICHE YA MIGOMBA/NDIZI ZA KISASA ILIYO TENGENEZWA MAABARA
Migomba/Ndizi aina ya GRAND NAIN (G-9) hii ni mbegu ya kimataifa.
Aina hii ya ndizi huboreshwa kwanjia za kisayansi maabara ambayo inaitwa Tissue Culture, lengo ni kuongeza ubora.
Tissue Culture ni uoteshaji wa seli au tishu zilizotolewa katika mmea husika au kiumbe na kuziotesha sehemu maalumu.
Kwa tafsiri ya kingereza
Tissue Culture: is the growth of tissues or cells in an artificial medium separate from the organism.
Mbegu hii inafanana na ndizi flani zinaitwa kimalindi au mtwike.
Ndizi hizi ni nzur kwa kupika na pia kuliwa kama tunda.
Wakulia watakao wezakulima ekari moja na kuendelea tunaingia nao mikataka nakununua ndizi kwao.
Aina nyingine za ndizi tulizonazo
1. Ndizi malindi (Tunda + Kupika)
Aina za ndizi malindi
a. Malindi ndefu.
b. Malindi fupi
2. Ndizi mzuzu (Za kupika)
3. Ndizi kisukarii (Tunda)
4. Ndizi bukoba (Za kukaanga maranyingi wauza chipsi au kwenye mabar wanazitumia)
5. Ndizi mshale (Zakupika)
6. Ndizi mkono wa tembo
7. Ndizi Jamaica
9. Ndizi FHIA, nk
#joackvetcenter #joackcompany #joackpestcontrol #ndizi #bananaplant #micheyamigomba #micheyandizi #micheyamatunda #bananatissueculture #nduzimzuzu #ndizimshale #ndizimkonowatembo #ndizikisukari #nduzimalindi #nduzimzuzu
Simu:
+255 714 636 375 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
kilimotz3@gmail.com
YouTube:
View: https://youtu.be/u2szG8izfqU
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: JOACK COMPANY LTD · Tegeta - Wazo hill Dar es Salaam TZ, 67414, Tansania
joackcompany
@mifugo_tz
@kilimo_tz
@afyakiganjani
#bananatree #dodoma #vuazilishe #mbogamboga #kilimo #kilimotz #mwanza #tanzania #tanzania🇹🇿 #tanzania #daressalaam #kampuniyamifugotanzania #kampuniyakilimotanzania #kilimomifugonauvuvikwaukuaji #kilimomifugo