INAUZWA Tunauza mifuko ya khaki bei ya kiwandani

Packline

New Member
Joined
Oct 8, 2020
Posts
4
Reaction score
6
Packline Company Limited,ni kiwanda kinachozalisha na kuuza mifuko ya khaki kwa gharama nafuu,baadhi ya bei zetu ni kama ifuatavyo
2kg ziko 1600pcs bei ya katoni Tsh 64,000
3kg ziko 1280pcs kwa katoni bei 64,000

Pia tuna handle bags
Za size tofauti
A5 Tsh 150
A4 Tsh. 250
A3 Tsh 300
Wasiliana nasi kwa simu namba
+255747282282
+255788118503
+255713367693
Email:Packlinetz@yahoo.com

 
Packline Company Limited,ni kiwanda kinachozalisha na kuuza mifuko ya khaki kwa gharama nafuu,baadhi ya bei zetu ni kama ifuatavyo
2kg ziko 1600pcs bei ya katoni Tsh 52,000
3kg ziko 1280pcs kwa katoni bei 52,000

Pia tuna handle bags
Za size tofauti
A5 Tsh 150
A4 Tsh. 250
A3 Tsh 300
Wasiliana nasi kwa simu namba
+255747282282
+255625611042 whatsap
Email:Packlinetz@yahoo.com

Pia hii fursa kwa vijana ambao hawana kazi au wana mtaji mdogo na hawajajua biashara ya kufanya ukinunua katoni moja ya mifuko ndani
kuna mifuko 1600 ambayo sisi kiwandani tunakuuzia sh 32 kwa mfuko mmoja wewe mtaani unaweza kuuza hadi sh 50 kwa mfuko mmoja kwa kuzungusha kwa wenye maduka kwa hiyo tunawakaribisha vijana wanaotaka kujiajiri kwa namna hii wafike ofisini tuyajenge badala ya kukaa tu mtaani na kupiga stori unaweza jikuta kila siku una uhakika wa kipato cha sh 10,000 au zaidi kulingana na juhudi yako ya kutembeza mifuko.
 
Hapo ulipoandika A4 250 Sijaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…