Tunauza mikanda ya gypsum na vifaa vya kutengenezea mikanda ya gypsum yani (mold)

Hisham Pokoho

Member
Joined
Jun 25, 2014
Posts
62
Reaction score
45
Habari wajasiriamali tunawakaribisha ofisini kwetu kujipatia huduma zetu pia tunatuma mzigo popote ulipo kwa nchi za Africa mashariki tunakuhumia.

Pata huduma zetu mikanda ya Gypsum kwa bei ya 1500 kwa pisi, pata maua na Engle za Gypsum kwa bei mzuri pia Pata vifaa vya kutengenezea mikanda ya Gypsum kwa wale wanaotaka kujiari kwa pisi moja ya mold ya mkanda bei 250,000 na mold za maua ya kati bei maelewano kulingana na size.

Tupo mbagala chamazi na kitonga Dar es salaam. Simu +255653020784 pia itapatikana whatsap.
 
Duh kazi zenu nzuri sana
 

Pisi ya mkanda ni 1500tsh??
 
Kama umekwama na unahitaji kujikwamua kiuchumi popote ulipo Tanzania na nje ya Tanzania anzisha hii biashara ya utengenezaji wa mikanda ya Gypsum na maua.Hii biashara ilianzishwa na wa china hapa kwetu miaka 17 iliopita,kwa sasa hii biashara inaendeshwa na wabongo.Kwa mazingira ya ukiwa na m 2 unaweza kuanzisha vizuri sana na pesa utaiona.
VITU VINAVYOHITAJIKA KWENYE HUU MRADI
1.Eneo lakufanyia kazi
2.vifaa yani mashine (mold)
3.Malighafi
 
Kama hili Bei Gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…