Tunauza mizinga na makundi ya nyuki

Tunauza mizinga na makundi ya nyuki

Chipukizi

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
4,409
Reaction score
6,773
Kwa mwenye huitaji Tunauza Mizinga na Makundi ya Nyuki kuanzia April 18. Tutakuwepo kwenye Viwanja vya 88 Morogoro Karibu tukuhudumie Toa order yako mapema!

2CE40F2E-972F-4F37-A1DD-003121683C0C.jpeg
98D591C2-C6CD-4062-B00E-78C950C2CC52.jpeg

EC36F809-A0FA-446F-A306-D1F4FB945BC1.jpeg
 
Weka bei mzee baba
Tuchukue mizinga hiyo
Nyuki kubwa au ndogo?
Sema faster
 
Tangazo bubu. Hujaweka namba ZA simu. Wabongo huwa hampo serious kabisa na biashara
 
Hivi Unauza Mzinga Na Nyuki Unawabebaje Kuelekea Home

Weka Bei Acha Mzaha
 
kuna kitu watanzania tunakosa, kuweka bei imekua shida sana na hii ni sababu juma anaweza ambiwa mzinga laki moja, john akaambiwa laki mbili
 
Back
Top Bottom